Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Naomba kueleweshwa. Wale walio andikiwa herufi *E badala ya Division,
ina Maana gani?
Thanks.
ina Maana gani?
Thanks.
Isiwe ndio matokeo yako hayo mkuu
Aende shule akafahamishwe zaidi maana inawezekana mwalimu amekula hela yako ama hitilafu wakati anacompile taarifa za wanafunzi ikapelekea system kumuondoa kwenye orodha ya waliolipa ada.No, mimi form 4 nilipiga 1998, na saivi nna miaka 16 Kazini.
Jirani yangu kaniomba nimchekie sasa nkaona amewekewa *E.
Nkamwambia kama alimaliza ada zote, akasema alikuWa hadaiwi chochote.
Hata hela ya mtihani walilipa yote ofisini kwa Headmaster.
samahnini waosoma clinical officer chuo ni lin
chuo lin kivp au mda wa kuapply unaulizi A cjakusomasamahnini waosoma clinical officer chuo ni lin