GENE THERAPY
Member
- Oct 29, 2013
- 52
- 101
Ndugu, kwa anaejua naomba anijulishe,mkoa wa Kilimanjaro ni Shule gani za private zenye kombineshen ya PCB zinazotoa elimu nzuri.ziwe Shule za wasichana(girls),naomba pia kujuzwa garama za Shule husika ili nifanye mchanganuo.
Asanteni sana.
Asanteni sana.