WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,426
- 1,431
Wakuu kuna dogo wangu kapata C flat combination ya HKL.lakini ana division 4 ya 26.Ana F mbili chemistry na Basic Maths masomo yaliyobaki ana D yote.
Je,serikali itamfikiria hapa maana dogo kahaso mwenyewe kusoma form one hadi four na kabakiza deni ambalo ameniomba nimlipie sasa kwa historia ya maisha yake dogo imebidi tu nimlipie na kwa sasa yuko Shinyanga mjini anaendesha daladala ya baiskeli.
Ushauri wenu wa kujenga utasaidia sana.