Nini matizi ya herufi K kwenye Lugha ya kiingereza?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Wakuu hasa Wataalam wa Lugha hebu tusaidiane juu ya hili!
Nataka kujua matumizi ya kawaida ya herufi K katika Lugha ya kiingereza bila kuhusisha majina ya vitu. Ni vipi herufi K twazewa kuitumia hasa kwenye tenses, Conjunctions,etc?

Msaada tafadhali Wataalam wa somo la kiingereza.
 
Kumbuka lugha huwa inaherufi zake na si kila herufi inaweza kuwa na maneno mengi ila kadri lugha inavyokuwa basi baadhi za herufi inaweza Pata neno jipya kumbuka tabia moja ya lugha ni kukopa maneno toka lugha nyingine kwaiyo usije shangaa kukuta neno KITAMBI likaja kuwa neno la kingereza


Pia si kuwa hakuna maneno ya kingereza ambayo hayana herufi K
haya ni baadhi ya maneno yenye herufi K
Walk
Talk nk
 
Back
Top Bottom