ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Habarini......
Naombeni kujuzwa kwa wale wenye uzoefu
Hivi kwa mfano mtu amesoma Diploma kwa miaka 3 hapa Tanzania je ni kweli kuwa akienda South Africa Kuendelea na degree miaka ya Kusoma Degree inapungua? au kuna nchi ina utaratibu huo
Let's say Umechukua Diploma Tanzania 3 years ukaenda South Africa kuchukua degree ambayo full time ni 4 years! Je kwa wewe mwenye Diploma tayari utasoma 2 years? au utasoma Miaka 4 ile ile kama yule fresh from school?
Najua kila nchi zina taratibu zao siongelei kwa Tanzania sababu najua Tanzania haiwezekani! naongelea nchi kama South Africa na zingne! Mwenye kujua Tafadhari