pinky toto
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 215
- 120
Habari zenu wadau!
Naomba mnsaidie kujua mada zinatungiwa mitihani ya RPL, katika masomo ya History, Kiswahili, Basic Mathematics, English na Civics.
Kwa anaefahamu nisaidie mwongozo.