East african comunity - common external tariff 2012 version

Suzzie

Member
Feb 25, 2009
98
12
habari za jioni wapendwa.

Natafuta kitabu cha HS Code (EAC - COMMON EXTERNAL TARIFF 2012 VERSION)
Please anaejua wapi naweza kukipata naomba anijulishe. nimetafuta sana hadi kwenye duka la vitabu la serikali pale posta hakuna. hata kwa mtu binafsi anayeweza kuniuzia tafadhali tuwasiliane kwa 0758174949/0655174948.
asanteni
 
Back
Top Bottom