Mods mnazingua kinoma

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
11,742
18,479
Nimeweka Uzi wangu humu kama Mara mbili unaohusiana na MD lakin baadae nikija kuchek siuoni...ni kwamba mnafuta ama VP ? Na kama ndio kwann? Au kuna sehemu mnauhamishia? Na kama ndio kwann hamni direct ulipo?
 
Ni kweli mods muwe mnatenda haki sio mnaangalia idadi ya meseji na jina la mtu hapa mtandaoni. Pia kama kuna tatizo la mtoa mada au muanzisha mada muwasiliane nae ( mumueleweshe tatizo au kasoro la andiko ili aboreshe, sio kuondoa kama vile mtu amepost heroin....Jamiiforums bila wadau haipo huo ndio ukweli mods amini au usiamini...MIMI MWENYEWE MODS SIMUELEWI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom