Naomba notes/Desa za M & E

Chimps

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
559
356
Habari wakuu,

Kwa wale waliosoma Masters (MA M&E) ya Open University, Naomba notes/Desa kwa mujibu wa syllabus yao ili nianze kujisomea mdogo mdogo kabla sija.join mwakani.
Unaweza nitumia kwa email dbyabato@gmail.com.

Asante sana.

NB: Matusi sio mahala pake hapa.
 

Attachments

  • 1458209783384.jpg
    1458209783384.jpg
    9.3 KB · Views: 31
Kwa wale waliosoma hiyo course. Naamini watakuwa JF pia.

Kama hujasoma hiyo, pita taratibu mkuu
Watu wengine wasamehe tu..hata hyo MA nadhan hawaijui...
Yan hii jf imevamiwa na vibwengu kwakwel..mtu anajiskia tu kujibu pumba kwny thread ya mwenzake
 
Back
Top Bottom