Shukrani sana MAMAA MNYALU.Unatakiwa utafute nafasi katika shule atakayohamia ukishapata shule unaandika barua ya maombi ya uhamisho,maombi unaandika kwa afisa elimu wa mkoa anaohama mtoto barua hiyo utaisainisha kwanza kwa mkuu wa shule atakayohamia mtoto kuthibitisha kuwa nafasi ipo halafu utaipeleka kwa mkuu wa shule anayohama kisha watakueleza upeleke kwa afisa elimu mkoa anaohama
Barua ndio utaratibu wa kiofisi utahamaje bila barua? Na kumbukumbu zitapatikana vipi bila maandishi?Je ikitokea mwanafunzi anahamu shule kutoka wilaya moja kwenda nyingine pia ina kuwa hivyo,Kwani hakuna form ya kujaza,na lazma barua....ikitokea umeangea tu na mkuu wa shule akakuambia nafac ipo...ni lazma uandike barua?