TAARIFA KWA UMMA
Kumekuwa na taarifa za upotoshaji zinasombazwa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutolewa kwa ajira mpya ya walimu kwa shule za sekondari na msingi kwa mwaka 2016/2017.
Taarifa...
Kuanzia mwaka kwa kidato cha Pili na cha Nne itakuwa ifuatavyo
A 75- 100: alama 1
B 65 - 74: alama 2
C 45 - 64: alama 3
D 30 - 44: alama 4
F 29 - 0: alama 5
je unahisi kuna uwiano wowote kati ya kombi za sayansi kama PCM,PCB NA PGM
na zile arts kama HKL, HGK, HGE.
Kwa wale mliopitia huku je kuna uwiano hata ukiangalia vitabu vinavyotumika.. mwisho wa...
wadau ninaomba msaada kuelekezwa sehemu sahihi nitakayojifunza kiingereza chakuongea tuu, ndani ya mwezi mmoja niwenaongea vizuri kiingereza bila shida, yawe ni maeneo ya ARUSHA MJINI
Kuna mtu aliweka notes hizo humu JF kwa mfumo wa pdf lakin sasa hiv hyo post imeshaondolewa, kama kuna mtu alizidownload naomba anitumie kwenye email yangu; ntakilowakumulaga@gmail.com
Jamani nani anauzoefu wa kusoma chuo cha maendeleo ya jamii cha tengeru arusha?je degree zake zinakuwa detailed?ukimaliza unaweza kuwa competetive?
Nipemi mawazo kabla sijaweka vipesa vyangu...
jamani kuna mtu yeyote anayeface tatizo la "Database Error" pale unapojaribu kusubmit Appeal Reasons?? dah maana hii system ni hovyo kabisa yani na ukiangalia deadline ndo hiyo tarehe 3 kesho.
wadau kuna tabia imezuka walimu wengi kwenda kuchukua mikopo katika taasisi mbali kwa kasi kwa kuhofia kufukuzwa kazi katokana na utumbuaji wa majipu unaoendelea na mgufuli/je wapo sahihi kwamba...
Habari wanajukwaa,kwaheshima zote husika na swali hapo juu .Nimatumaini yangu swali langu litapata majibu wako ktk kuimairisha jukwaa la elimu. chama2chawa .
Kama kichwa husika hapo juu!!!! Kwa walimu wa michezo na burudani VP mahafali ninyi mnafanyaje ? Maana Mimi watoto wananiuliza sana kuhusu mahafali yao ya mwaka huu kwa waliokidato cha NNE mwaka...
Nadhani wengi tumeshuhudia au kusikia watu wakipewa degree za heshma. Pia tumewaangalia au kuwasikia waliopewa hizo PhD za heshima bila kuona usomi wowote.
Hili limenisukuma kuuliza mamlaka...
Ndugu wana JamiiForums,
Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh 600000/=
Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya Mtanzania wa chini...
Habari wana jamiiforum Naomba kuuliza hivi kwa walio appeal mikopo hadi leo zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
Naomba kujuzwa Umoja wa Wanafunzi wa Kikristo Tanzania:
a)Ulianza Lini?
b)Katiba Ikoje?na Kama Ipo Naomba Niipate
c)Malengo na Nia Yake?
d)Kuna Mtu Ameniambia Kuwa Mchungaji Alishawahi Kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.