Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 462
- 390
Asalam wakuu!
Nimemaliza chuo mwaka jana na nimesomea degree ya ualimu chuo kikuu cha UDOM tatizo langu ni kwamba nimeshikwa kozi moja ambayo natakiwa niirudie kuisoma semister ya pili pamoja na hawa mwaka wa tatu, kuhusu fomu za kuchagua halmashauri/wilaya za kwenda kufanyia kazi tulishajaza tangu mwaka jana, swali langu ni je kuna uwezekano wa kutochaguliwa mwaka huu kwa sababu a hicho "kimeo" changu?
Mwenye uzoefu na hii naomba anijuze.