Tuelimishane kuhusu Vyuo vya Ualimu

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba tuelimishane na kusaidiana kuhusu vyuo vyetu vya ualimu kwa tunaoenda kuanza mwaka huu hasa kwa vyuo vya Korogwe (Tanga) na Kreluu (Iringa).

Mazingira na chuo kilivyo kwa ujumla katika kuchagua vyuo.
 
Diploma ya ualimu wanachukua hawasomi.

Muda ni mwingi kuliko skills na knowledge unayotakiwa kupata
 
Sijakuelewa mkuu ulivyosema hawasomi?
Nimemaanisha ukienda chuoni unaenda kuchukua.
Sababu nimeweka hapo juu kwamba huo muda wa diploma ni mwingi ukillinganisha na skills na knowledge unayotakiwa kuwa nayo baada ya kozi kuisha
 
Diploma ya ualimu wanachukua hawasomi.

Muda ni mwingi kuliko skills na knowledge unayotakiwa kupata
Higher diploma ni tofauti kidogo mkuu kwanza ni 3yrs kama bachelor na wengi wanaoenda kule wana vigezo vya kusoma Bach na kwa wa sayansi wana mikopo kama Bach... Higher diploma walivyoiseti Mzee mhhh hatar
 
Duuh ktk guide book wameweka 2yrs kwa higher diploma and not 3yrs
Hapo vp kiongozi!!!
 
Back
Top Bottom