pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,474
- 6,147
Niliajiriwa na taasisi A na baada ya mwaka mmoja nikaletewa deni la laki moja na themanini (180,000/=) na penati ya elfu 9.
Kiukweli hili deni halikuwa sahihi maana mkopo halali ulikuwa zaidi ya 5M.
Hata hivyo nililipa.Baadae nilihama kituo cha kazi na kuenda kuanza kazi.HSLB na kuletewa hiyo deni la 5mil. Sasa nalipa huu mkopo .
Je,nilitapelewa?
Na je naweza kudai laki na themanini na tisa niliyolipa?