BUTIAMA ZANAKI
New Member
- May 19, 2013
- 4
- 0
Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote mwenye maelezo sahihi kuhusu NAIROBI UNIVERSITY, mfano ada, mazingira ya chuo na jinsi ya kujiunga yaani application huwa zinafanyika muda gani na masomo yanaanza mwezi wa ngapi kwa course za shahada/degree.