Dukebwoy
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 223
- 83
Habari za mchana wana jamvi, Naombeni msaada kidogo.
Mimi nilirudia mtihani wangu wa kidato cha nne mwaka jana na kupata division IV 26, nina CREDIT 4 ktk masomo ya History Civics Kiswahil na English.
Naombeni kufahamu ni shule gani hapo Dar nzuri kwa masomo hayo ya HKL na yenye ada ndogo kulingana na kipato nilichonacho.