Kufundisha masomo ya ziada (twisheni)

chura bin chura

New Member
Mar 15, 2016
1
0
Habari wanandugu mliohumu ndani?

Mimi nikija niliemaliza chuo SUA mwaka juzi na nimehitimu shahada ya wanyama pori, kazi zilitoka na sikuomba kwasababu moja nilikua na kazi nafanya na sikutaka kuiacha pia sikua tayari kwenda kufanya kazi serikalini tena porini...back to the heading above...binafsi nina uwezo mzuri wa masomo ya kemia na biology na najiona nina moyo na ari ya kufundisha wanafunzi kama facilitator yaani mwalimu wa tuition katika mikoa ya arusha na kilimanjaro au mkoa mwengine wowote ispokua dar...ninaomba mwenye mchango wa mawazo, uzoefu ama lolote la kunisaidia kutiza ndoto anisaidie.......hasa ninachoitaji wapi naweza kwenda kufundisha katika mikoa tajwa hapo juu

.......natanguliza shukrani.......
 
Umegoma kuomba ajira serikalini kibarua kimeota nyasi unataka tuition ya kujishikiza huku ukingoja vacancy Wapo watu tayari na hio professional ya ualimu halafu hio course ya wanyama ndo ufundishie wenetu tuition wa ordinary level? chemi na bios umevisoma muda mrefu naamini mengi umesahau sasa ndo ulishe wenetu tango pori? Ebu tafuta ustaarabu wa kujiajiri aaseee
 
Umeacha kwenda kula pesa ya serikali unatafuta vi-elfu 5 vya tuition?
tena vya kusumbua?
Tafakari chukua hatua...
 
Back
Top Bottom