Sioni haja ya kuwa temper hivo as long as mtihani ni mmoja for both school&private candidates so keep calm and wait for 2nd of may,2016.Mm nilijiunga na kidato cha tano kwa shule ya private mwaka 2014 lakini wakati wa usajili baadhi yetu tuliambiwa kama una four ya 32 na comb haijabalance inatakiwa ujiandikishe kama pc ikatubidi tufanye hivyo lkn wakati wa kujiunga kidato cha tano walituambia hata comb isipo balance ilimradi uwe na credit tatu matokeo yangu yalikuwa hivi
Civics~C
History~D
Kiswahili~C
English~C
Islamic knowledge~D
Biology~D
Geography~D
Mathematics~F
Book keeping~D
Commerce~E
Sikutegemea kuwa pc na kwa sasa nasubiri number bado hazijaja
na nasoma combination ya HKL.
Yeah kitu kama hicho kipo sababu kubwa nio kwamba wanaassume wewe tayri upo competent zaid kuliko huyu aliyepitia mfumo wa kawaida..vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
Hakuna tofauti yoyote kati ya PC na School candidate! Pass zenu ndizo zitakazowatofautisha!vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
Kuna jamaa ang alikuwa anatamani Sana kuwa daktar alivyoenda advance ye akafer alikuwa PCB tosamaganga akapata three ya point 17 mwaka uliofaata akarudia kama Pc pale makongo high school akapiga division 2 ya point 12 yaan uwezo wa kusoma Medical doctor lakini TCU wakampa faculty ambayo haikuwa haimo kichwani electronic and communication mpaka Leo yupo mwaka wa pili hivyo inawezekana..vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
Huyo anaweza Fanya masomo hayo mawili tu awahi akasajiliwe mapema nmeona watu wanafanya hata mojaWadau mdogo wangu alifanya mtihani 2007,akapata div two,ila hakusoma physics japo chemistry na biology alifaulu kwa kiwango cha B kila somo,alipoomba kusoma medical officer akaambiwa bila Physics hawezichaguliwa.
Sasa anataka kurudia mtihani wake wa physics na Maths tu,kwa o level,hivi inawezekana akafanya mitihani miwili tu ili baadaye afanye hiyo medical officer yake?
Ahsante Mkuu,maana malengo yake ni kufanya medical courses ilikuwa inamkwamisha physics peke yake!!!Huyo anaweza Fanya masomo hayo mawili tu awahi akasajiliwe mapema nmeona watu wanafanya hata moja