KUHUSU SWALA LA KWENDA CHUO KUTOKA KIDATO CHA SITA

Hakuna anaeweza kukupa jibu sahihi

By the way nijuavyo according to TCU guidebook in most programmes huwa zinaitaji principal passes mbil,TCU guidebook ndio hutoa muongozo principal pass kwa mwaka huo ni ipi
Mfano mwaka jana Principal pass ilikuwa ni "D"
 
Back
Top Bottom