sizya007
JF-Expert Member
- Sep 9, 2013
- 416
- 210
Wana JF nawasalimu.
Kuna uzi mmoja uliwakuletwa humu siku za nyuma kidogo ukielezea matatizo sugu yanayokikumba chuo kikongwe cha UDSM, nyuzi kama hizo ziko nyingi mno humu JF. Na wengi wa wachangiaji wanakiponda sana chuo hiki, wengine wamewai kuwa wanafunzi au hata watumishi pale na wengine kinyume chake. Mimi nimepitia UDSM na ninaungana na wengi wanaokosoa na kuponda chuo hiki katika baadhi ya mambo.
Ubovu wa miundo mbinu na uchafu uliopitiliza, ni ukweli kuwa UDSM ni chuo kichafu mno kupitiliza, angalia vyoo vya libraly, mahall (yote) na DARUSO. Kuna kundi la watu wanatetea ubovu wa miundo mbinu na vyoo kwa hoja ya ukongwe, hii ni hoja premature na ya kitoto kabisa, Stanford University, Oxford University, Pretoria University na Egypty University ni miongoni mwa vyuo vikongwe, kuliko hata Udsm, ila mbona ni miongoni vya vyuo vyenye mazingira safi duniani. Ukongwe si tija au hoja sahihi ya kuhalalisha uchafu.
Academic arena kama UDSM ambayo ndio kitovu na chimbuko la elimu kwa hapa tanzania, kweli wanashindwa kutatua tatizo la ubovu wa miundo mbinu?! Na wingi wote wa waandisi kule COET?!, hapa elimu iko wapi sasa?!
Ubora wa elimu, ni kweli Udsm inachukua ile inayosadikika kama cream ya nchi hii, ila binafsi nadhani tofauti kidogo na mifumo ya kompyuta ambayo tunajua kuwa "gabbage in gabbege out" elimu inaweza kuwa otherwise "cream in gabbage out", elimu inaendana na mazingira, mazingira rafiki uzalisha wasomi sahihi.
Binafsi nadhani halaiki ya wengi wanaomaliza UDSM wanaondoka a bit less intelligent kuliko wanavyoingia (mtazamo binafsi).
Graduates wengi wako mtaani wakilalamika ajira, they lack creativity na moyo wa kujaribu kufanya mambo mapya. Ubora wa elimu uko wapi kama unashindwa kujikomboa kutokana na ulichokipata shule?
***uzi utaendelea kutokana na flow za comments***