Uhakiki wa cheti cha kidato cha nne

wingman7

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
346
76
Habar zenu, ntawezaje kujua kama cheti cha form four ni original? Nipeleke wapi waniangalizie?
 
Sio chako hicho bali ulinunua
Kwa nini unasema hivy kaka?, inawezekana yeye ni mwajili anataka kujiridhisha kuwa mwajiliwa mpya ameleta cheti halisi au ameambiwa apeleke copy ilihakikiwa na kuwa na muhuli wenye kuonyesha hiyo kopi ni nakala halisi ya original
Kama unafahamu mueleze tu na ndio itakuwa faida kwa wengine pia,

Cc:Kilosaone,
 
Hold your certificate to the light to verify the NECTA Watermark and security thread can be seen through the paper,but it seems that document isnt yours
 
Wapelekee NECTA wenyewe, ukishindwa ingiza Exam namba ya kwenye cheti Google, yatakuja majina ya mwenye cheti, ikiwa hivo ujue cheti ni original!
 
Ok sawa maana kuna kijikampuni cha Book writing tumeanzisha so inabidi tucheki wafanyakaz tutakao waajiri
 
Nyie bado mnaangalia vyeti? Angalieni perfomance you dudes vyeti wengine walipata kwa kudesa. Mpe job responsibilities akiwa anaziattain correctly then cheti chake kinakuathiri vip? Be pragmatic stay contigencly!!
 
Kijana hatu wametumia time zao kusoma so the time must pay off
 
Habar zenu, ntawezaje kujua kama cheti cha form four ni original? Nipeleke wapi waniangalizie?
Nakumbuka wakati naomba mkopo, nilitakiwa kuhakiki vyeti vya form four na cha kuzaliwa ili nipate mkopo HELSLB. Nilipeleka kwa mwanasheria, lkn kama mwanasheria hayupo karibu basi hata mahakama wanahakiki vyeti!!
 
Back
Top Bottom