albert-albert
Member
- Jul 14, 2013
- 15
- 3
habari zenu ndugu zangu,napenda kufahamu kutoka kwenu kuhusiana na higher diploma in science and mathematics itolewayo kwenye vyuo mbalimbali vya ualimu. 1.je hii ni kozi ya miaka mingapi?(mana nacte kwenye kitabu chao wameandika 2yrs bt nilijaribu kutafuta joining instruction za mwaka jana za baadhi ya vyuo wameandika 3yrs). 2.je kuna uwezekano wa kupata mkopo?