Walimu mnaolalamika kuhusu CWT

Miaka minne sasa hatukatwi,hata nikikatwa nitahoji na kujitoa.
Tatizo la walimu ni kulia lia na woga hasa wa primary.
Umeulizwa unajua sheria za vyama vya kazi ukasema hujui sasa utahoji vipi kama kuna sheria inakubana? Una bahati kwa vile hukatwi lakini siku ukianza kukatwa utahoji miaka zaidi ya kumi lakini hutafanikiwa kujitoa
 
Assume wameshaanza kukukata na we hukujiunga ungejitoaje?
Yaani hatakama hujajaza form wanakata tu. Mimi nimeajiriwa 2011 na mwaka huohuo walianza kukata wakaleta form wenzangu walijaza ila mm mpaka leo form sijajaza na ninakatwa. ila lekebisha kauri yako sio wanalalama bule kuna sababu za msingi walim sio wehu mpaka walalame bila 7bu mkuu.
 
Ndio sasa tutoe ushauri namna ya kurekebisha matatizo au namna ya kujitoa sio tu kusema wanaolalamika waoga
 
Sasa wapi kwakutolea ushauri na wakati gani na unasikilizwa na nani. Kuna kila sababu watu wanatoa ushauri haufanyiwi kazi ndo maana demonstrations zinatokea.
 
Kwa ushauri kama sheria inabana jaribu kujilipa kwa kutumia 20% kufundisha na 80% kwa ya kutafuta pesa kwa plan B.
Tatizo ni walimu kulia lia na kuwa na wema kama mshumaa yaani wanafundisha kwa bidii.
Angalieni kuna kulaumiwa na watoto baadae.
Ushauri wako sio mzuri kumbuka anayekulipa mshahara sio CWT. Nilichojifunza hata we utakatwa tu na hutaweza kujitoa wambie walimu waendelee kuchapa kazi kama kawaida. Wakitaka kujitoa labda wafanye mobilization ya kuanzisha chama mbadala
 
Waendelee tu ila mimi siwezi kufanya kazi kwa bidii kwa faida ya wengine ili mimi niendelee kuwa masikini,maisha ya Dar eti ukomae kufundisha utaona hali inavyokuwa mbaya kiuchumi.
Mimi sipo tayari kuwa na wema wa mshumaa
 
Sasa point hapa ni ipi? CWT sio mwajiri wako sasa kwanini umpunje mwajiri wako wakati anayekunyonya sio yeye. Fanya kazi kwa kadiri ulivyoichagua kama hutaki kuwa maskini jiajiri
 
Back
Top Bottom