Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
.
Walimu wote ni mburula
naomba kujua ka vibari vimeisha anza kutolewa kwa walimu waliohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.mwenye taarifa naomba anijulishe tafadhali.
Walimu wote ni mburula
Njoo musoma dc mimi nije kilimanjaro wilaya yoyote arusha wilaya yoyote au tanga wilaya yoyote idara sec 0659873670haya aliye kufundisha irabu na konsonanti ukapata jeuri ya keyboard umemsahau??
wewe kama uzi haukufai ungepita tu kuandika chochote kwa mada ya mambulula nikudhihirisha you are insane
kama umeishiwa point nduguWalimu wote ni mburula