Postgraduate diploma ya Education UDSM

Sifa za kusoma/kujiunga na post graduate ni zipi? Na inakuwaje mtu mpaka asome post graduate? Na post graduate ni nn(kwa ujumla wake)?
 
Sifa za kusoma/kujiunga na post graduate ni zipi? Na inakuwaje mtu mpaka asome post graduate? Na post graduate ni nn(kwa ujumla wake)?
PGD ni kifupi cha post graduate in wkt masters ni Unit 180 pgd ni unit 120 kwa Kiswahili ni stashahada ya uzamili, postgraduate diploma.

pgd anasoma mwenye sifa zifuatazo
. awe na shahada ya Kwanza au PILI hata PhD.

IPO chini ya nacte, unasoma PGD ikiwa unataka kupata program flan katika level ya juu, level ya ubobevu, Na ndio maana husoma mwenye kuanzia shahada au equivalent Na hiyo.

kuna pgd za program nyingi
electronic
education
information
nk
 
Back
Top Bottom