mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
Ile shule kongwe inayoongozwa na bepari moja la kihaya hapa mjini walimu wake wote mishahara anawalipa dirishani na si kwa kupeleka benki imethibitishwa.
Najua waziri wa elimu mama Joyce Ndalichako unasoma humu, TRA na taasisi zingine ni tatizo ile shule ukiachana na kuhonga wasimamizi wa mitihani kwa fungu wanalotenga la mil 40 kila mwaka, embu fikeni pale patumbuliwe!