ibrah_alesalas
Member
- May 7, 2015
- 24
- 4
Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya ualimu anataka kusoma degree sasa ameshafanya malipo nacte akiingia kwenye option ya kuchagua vyuo vipo vyuo vichache anavyotaka yeye havipo mfano DUCE, UDOM, UDSM NA MZUMBE. Tunaomba msaada WA ufafanuzi jinsi ya kuweka machafu ya vyuo hivyo. Ana ufaulu mzuri tu.