Msaada jibu la Quiz ni ngapi?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
35554F1900000578-3644084-image-a-23_1466054917883.jpg
 
inakuaje mbili iwe moja, umekosea kidogo
wewe ndo umekosea hayo maumbo ni unknowns kwa hiyo baada ya x,y and z akatumi hayo maua
ua jekundu=x
ua la blue=y
ua la njano=z
so kwa kutumia algebraic xpression jibu ni 101
x=20, y=5, z=1. hivyo jamaa yupo right.
 
Mkuu nimekupata, kumbe kuna njano mbili kwenye eqn 2, hapo sawa
 
Back
Top Bottom