Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
Habari wakuu,nimeamua niandike huu uzi kwa sababu nimepitia nyuzi zingne katika jukwaa letu hili la elimu,nimeshangazwa kuona karibu zote zinazungumzia Chuo kikuu cha DSM.just imagine jamani hadi threads za mwaka jana kuhusu UDSM zimekuwa renewed watu wanaendlea kujadili kuhusu ubora wa chuo,wanafunzi na malectures,afu asilimia kubwa ni kukiponda hiki chuo na kusifia kwa baadhi ya mazuri mengi yaliyofanywa na mchango wake katika taifa.embu kwa maslahi ya vyuo vyote jaribuni kujadili kwa faida ya wote na kuzungumzia hali za vyuo vingine sio UDSM tu wakuu,
najiuliza ni kwanini kipindi hiki ndo mnazungumzia sana kuhusu hiki chuo?
pia kwanini katika threads za vyuo vingine kama UDOM wakuu mnakiingiza chuo hiki wakati hakihusiani na subject iyo?
embu wana UDSM tuwaache watu waongee na wajadili sana sababu wao wako nje na chuo hawaelewi kinachoendelea na ubora wa chu chetu.
Mungu ibariki UDSM.kama haikuhusu naomba usichangie chochote.