Maelezo jinsi ya kujiandikisha kusoma CPA

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Habarini wakuu,

Jaman naombeni maelekezo ya msingi namna ya kujirejista kusoma CPA. Gharama na vitu vya msingi ambavyo nitapaswa kuwa navyo ni vipi?

Asanteni.
 
Habarini wakuu,

Jaman naombeni maelekezo ya msingi namna ya kujirejista kusoma CPA. Gharama na vitu vya msingi ambavyo nitapaswa kuwa navyo ni vipi?

Asanteni.
nenda center wanayofundishia CPA review utapata maelekezo au piga simu NBAA au nenda kwenye website yao, au nenda NBAA makao makuu DSM
 
Kama unaona sana shida fanya hivi google NBAA tanzania ingia utaanza kupata namna ikishindikana ni PM nikupe namba upige upate maelezo maana kwa kutype tu ni shida mkuu
 
Back
Top Bottom