Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Kwa masikitiko na uchungu mkubwa kumpoteza Dr Pascal Semkiwa ambae yeye ndiye alikuwa Mtanzania pekee mwenye PhD ya Coal Geology.
Sasa Serikali imeadhimia kutafuta vijana 5 wenye Masters kwenda kusoma PhD (coal geology) nchini China kuanzia Sept 2017 (mwakani). Pia Ubalozi wa China umekubali kuungana na serikali ya Tanzania kwenye kuondoa ombwe hili la utaalamu wa coal.
Kwa vijana wa Kitanzania watume CV zao kupitia baruapepe kwa J Kumburu: josephkumb@gmail.com