Kubadili toka college kwenda advance

mwamini sr

Member
May 30, 2016
27
2
Habari wana JF,

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne 2015 na nina daraja la kwanza katika matokeo lakini kwenye zile form za kujaza nimeweka college ndo first selection.
Je, yawezekana kubadilisha na kwenda advance ikiwa nitapangiwa college? Nataka kusoma PCM.
 
Back
Top Bottom