Sababu ya kuchelewa kwa pesa ya kujikimu vyuoni ni ipi?

kuna vyuo vingi havijapata bum la 4 mpaka Sasa, huku tetesi zinasema mpaka heslb wapite kila chuo kufanya ukaguzi... Jamani tutakufa na njaa
Naomba unisaidie, hivi huwa kuna BUNU ngapi kwa mwaka? Na zinatolewaje. Na ni kiasi gani kwa miezi/wiki ngapi? Tafadhali. Hii ya nne inakuja vipi?
By the way, Si mnashangilia hapa kazi tu bila tafakari! With time you will change!
 
Awamu 4...kila baafa ya siku 60...ambayo awamu ya kwanza pale chuo kinapoafunguliwa semester 1..710k ambapo 200k kwa ajili ya stationary na 510k kwa ajili ya meals n accommodation , baada ya siku 60 inaingia 510k sawa na 8500kwa siku. Awamu ya 3 tena 510k na awamu ya 4 na ya mwisho 510k
 
Mkuuu yaaani njaaa inaniuma sanaaa hapa laiti wangejua wanavotesa watoto wa maskini wasingefanya hivo
 
Awamu 4...kila baafa ya siku 60...ambayo awamu ya kwanza pale chuo kinapoafunguliwa semester 1..710k ambapo 200k kwa ajili ya stationary na 510k kwa ajili ya meals n accommodation , baada ya siku 60 inaingia 510k sawa na 8500kwa siku. Awamu ya 3 tena 510k na awamu ya 4 na ya mwisho 510k
Shukrani. K maana yake ni nini? kilo=1000 or
 
Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) jamani itangaze nini tatizo linalochelewesha boom la fourth quota kwenye website au wanataka mpaka vyuo vikuu vigome kama UDSM ndo watoe pesa?! Atleast sasa waeleze sababu zinazo pelekea fedha hizo kuchelewa

Nawasilisha
 
Mkuu wa kaya alishasema wanachambua kwanza wanafunzi hewa so subirini wamalize hilo muwe wavumilivu
 
Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) jamani itangaze nini tatizo linalochelewesha boom la fpurth quota kwenye website au wanataka mpaka vyuo vikuu vigome kama UDSM ndo watoe pesa?! Atleast sasa waeleze sababu zinazo pelekea fedha hizo kuchelewa

Nawasilisha
Ulishangilia na bado unashangilia hapa kazi tu!
 
Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) jamani itangaze nini tatizo linalochelewesha boom la fpurth quota kwenye website au wanataka mpaka vyuo vikuu vigome kama UDSM ndo watoe pesa?! Atleast sasa waeleze sababu zinazo pelekea fedha hizo kuchelewa

Nawasilisha
Pole kuweni wavumilivu, watakuwa wanafanya uhakiki.
 
Mkuu wa kaya alishasema wanachambua kwanza wanafunzi hewa so subirini wamalize hilo muwe wavumilivu
Sasa mpaka huo uchunguzi ukamilike sisi huku tunaishije wengine tuna division 1 zetu but still tunapata tabu sababu ya hii serikali na mambo yake ya vilaza
 
Back
Top Bottom