Msaada: Maswali kuhusu pharmay council

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Habarini wakuu,

Samahanini wakuu nimemaliza certificate ya pharmacutical assistant mwaka jana nahitaji kuwa registered pharmacy council naomba kuuliza maswali machache.
1. Naomba kujua procedure zote za kuwa registered.
2.Nimeambiwa kuwa kuna mtihani wa Forensic exam tuna ulipia sh ngap na je umebase kwenye nini?
3.Niko Dar je Pharmacy council iko wapi.

SAMAHANI KWA MUHUSIKA YEYOTE WA HAPO NAOMBA ANIJUZE IKIWEZEKANA KWA CONTACT PIA.

ASANTENI.
 
Naweza kujiunga diplom y phrmcy hapo paradsm chm-c bios-d phyz-e math-c na englsh-b unavyo ona kw sifa hzo n weza pata
 
Back
Top Bottom