Naomba kujuzwa juu ya diploma ya Medical Records

Byarufu

New Member
Jun 2, 2016
1
0
Niliona jina la kozi iliyotajwa hapo juu kwenye orodha ya kozi za afya kwa walioomba kupitia NACTE.

Je,wanaohitimu hiyo kozi wanaajiriwa kufanya kazi gani? Wanalipwa mshahara kiasi gani? Ajira yake haisumbui kupatikana?

Wanaojua kozi hiyo naomba majibu ya maswali yangu tafadhali.
 
Back
Top Bottom