Msaada: Nina two ya 12 CBG, naweza soma Veterinary Medicine (BVM) SUA?

Msaada: Nina two ya 12 CBG, naweza soma Veterinary Medicine (BVM) SUA?

Dindai

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
933
Reaction score
1,668
Habarini wana jf,ningependa kusoma bvm sua matokeo yangu ni kama ifuatavyo gs-s geo-d chem-e bios-c o bam-f,o level nilipata one ya 16 chem-b bio-b phys-b math-c-engl-b na mengine yaliyobaki nilipata c. Je KWA MATOKEO HAYO NAWEZA KUCHAGULIWA SUA KUSOMA BVM?
 
kwa ufaulu huo uwezekano upo...ila kabla hujaja uwe umeaga kabisa!!! kingine hii kozi huwaga na competition sana ila as long as una credit ya basic olevo uwezekano upo...na kwenye kujaza iweke ya kwanza kabisa!!! all the best....
 
Bvm wanachukua watu wangapi
 
We kama unataka kugraduate mwaka wa kwanza,kasome hyo bvm pale sua!
 
Kugraduate mwaka wa kwanza kivipi bwana perry?
 
nko Sua msimtishe,he should have commitment to it!
 
dogo karibu kwenye kozi ya kiume.... ukifika nitafute nikupe simbi lakn uje umejipanga
 
someni vitu vya maana unasoma bvm hakafu unaishia kuchoma sindano mbwa...na kulalamika kazi hakuna..someni kozi za maana
 
Bwana ze duduz mungu akipenda nikapata sua bvm niandalie simbi za kutosha nitakutafuta
 
someni vitu vya maana unasoma bvm hakafu unaishia kuchoma sindano mbwa...na kulalamika kazi hakuna..someni kozi za maana

agrobusiness imekaaje kuna dogo anomba udhauri, anataka akaisome hapo sua?
 
Ulizia Muhimbili, Bugando na Kcmc Kama utaweza kusoma medicine ningekushauri ukasome medicine kuliko hiyo BVM na hasa nikiangalia soko la ajira Tanzania
 
Kwa matokeo hayo naweza kupata medicine bugando au kcmc kweli
 
Ulizia Muhimbili, Bugando na Kcmc Kama utaweza kusoma medicine ningekushauri ukasome medicine kuliko hiyo BVM na hasa nikiangalia soko la ajira Tanzania

CBG nedicine tena muhimbili..kcmc are u serious!?
 
Back
Top Bottom