Bodi ya mikopo (Heslb ) wakumbukeni hawa vijana wa chuo cha IAE.

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Igweeeeeeeeeeee,,,,



Ndugu wanajamvi mpaka sasa watoto Wa masikini wanasoma chuo cha institute of adult education hawajasaini pesa zao za maraz.

Ndugu zangu vijana wanateseka sana nyuso zao zimekomaaa utafikili wazeeee WA miaka 70.

Bodi ya mikopo tatizo nini watoto wamasikini hawajapata mpaka sasa na wakati hii hela mlitaliwa muitoe toka Tarehe 29.05.2016 but mpaka sasa Tarehe 15.06.2016 bado mnategemea waishije?



Mdogo wangu nampango second yr ahame chuo hiki kwani Bodi ya mikopo mnakizarau sana kwa nini vyuo vingine tayari ila Institute of adult education tu?





Am done time will tell ukiona Kobe kainama ujue anatunga sheria.
 
Mnategemea waishije watoto yatima pamoja na wamasikini wanaotegemea vijisenti hivi
 
Back
Top Bottom