tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Wakuu mimi ni mwanafunzi wa Ardhi Institute Morogoro, registration number ARIMO/MG/GMT201585. Tunaanza mitihani ya mwisho ya semister tarehe 20/06/2016 lakini tatizo langu nimekwama ada ya semister hii ya pili mpaka leo nimshindwa kukamilisha kutokana na hali yangu maana najisomesha mwenyewe.
Chuo wanataka ifikapo tarehe 17/06/2016 niwe nimemaliza ada, la sivyo nitatakiwa kuandika barua ya kughairisha mwaka. Nilikua naomba kwa mwenye uwezo wa kunisaidia moja kati ya haya maombi matatu anisaidie maana sina tena njia nyingine ndio maana nikaja huku.
1. Anisaidie kiasi cha ada nilichokiambatanisha kwnye attachment hapo chini.
2. Aniazime hicho kiasi nitakabidhi certificates zangu zote original mpaka nitakapomlipa nitafuata certificates zangu.
3. Kama anajuana na mkuu wa chuo basi aniomb nifanye mitihani yangu ya mwisho baada ya mitihani nitatafuta hio ada niilipe.
NB:
Mwaka jana nilipata chuo UDOM kozi ya Statistics ila kumbe sikulipiwa ada ila mkopo nilipata ndio maana nikashindwa kwenda kuendelea.
Naomba msaada wenu tafadhali na nitashukuru hata kwa msaada wa mawazo pia
namba yangu ya simu ni 0673500181