Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
Hivi bodi ya mikopo haitambui kuwa form six waliomaliza wanaenda jeshini na kama wanaenda wataanza vipi hizo process za kuonana na Hao wenyeviti wa mtaa na vilevile mnataka waende na zile nyaraka zote muhimu jeshini kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha kifo baba au mama na je akiwa njiani au vikipotea ghafla au NDO MNATAKA WATU WAHAIRISHE MWAKA KIJANJA?!
Wekeni hata kwenye website kinacho kwamisha maombi hayo ili Umma uelewe
Wekeni hata kwenye website kinacho kwamisha maombi hayo ili Umma uelewe