Msaada kwa anayeijua Bachelor of Science in Information technology with Education ya SUZA

Jun 14, 2015
9
3
Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA. Inaitwa Bachelor of Science in Information Technology with Education.

Ufafanuzi tafadhali, unasomea vitu vingapi hapo? Baada kuhitimu unafanya kazi gani?

Aulizaye ataka kujua.
 
.. Unasoma ualimu wa masom ya kompyuta.. Meaning basi.. Kuna baadhi ya shule hufundisha masomo ya kompyuta kama masomo mengine....

Ila kwa sasa wanasoma na somo jingine moja (Geog, Math or Biol kwa walioko sasa, ilianza second year kwa order ya tcu ili wawe na masomo mawili)
Ni course nzuri, KARIBU SUZA
 
Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA,
Bachelar of Science and Information Technology with Education.
Ufafanuzi tafadhali,Unasomea vitu vingap hapo?
Baada kuhitimu unafanya kazi gan?
Aulizaye ataka Kujua.
Kuna jamaa yangu mmoja aliniiambia SUZA wana kozi wanasoma IT na accountancy, nikaona kumbe jamaa wako poa
 
Ila kwa sasa wanasoma na somo jingine moja (Geog, Math or Biol kwa walioko sasa, ilianza second year kwa order ya tcu ili wawe na masomo mawili)
Ni course nzuri, KARIBU SUZA
Excellently! Hicho neicho nilicho kuwa nakihitaji kwa 100%.Ngoja nkapige IT & Biology!
 
Back
Top Bottom