nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
hivi kati ya kozi hizi mbili ipi nzuri zaidi kwa mwajiriwa wa serikali kupandishwa cheo na kupadilishwa kazi kwa kanda ya mahakama kozi hizo ni BACHELOR DEGREE IN HUMAN RESOURCES MANAGEMENT (BHRM) NA BACHELOR OF ARTS WITH PUBLIC ADMINISTRATION(BAPA) IPI KOZI NZURI ZAIDI HAPA???