abdulh iddy
Senior Member
- May 28, 2015
- 159
- 6
Habari wana jf. Natumai wote wazma.
Msaada nina dogo wangu kamaliza mwaka 2014, akapata credit mbili[2] g.p.a 0.6. Yaani C-biology, C-Kisw.
Naomba msaada anaweza somea kozi gani ambayo ni rahisi kujiajiri.
Ahsante