Kwa matokeo haya, nitachaguliwa NACTE?

May 25, 2016
62
10
Habar wana Jf
Katka matokeo yangu ya kdato cha nne 2015 nmepata div 4 point 27 nna MATH D' PHYS D' CHEMI D' GEOG C' BIOS D' KISW D' ENG D' HIST D' CIV 'F' Na nmeapply through nacte chuo cha madini dodoma (ORDINARY DIPLOMA IN MINING ENGENEARING) Je kwa hizo credit apo juu ntachaguliwa?
Niwasilisha..
 
Unapo apply tambua kuwa unakuwa umesoma fomu yao sifa stahiki zinazotakiwa kwa mtu anaetakiwa kujiunga na ORDINARY DIPLOMA......hvy kama umetuma natambua hiyo fomu yao umeipitiaaa ushaur hakuna kijana usipime akili watu wew cha msingi subili kama uta be selected
 
Inategemeana, kwanza hadi unaomba si ulisoma "Sifa za nafasi hiyo???"

By the way, kama ulisoma, ukaona you meet the need...

Then, omba uCompete vizuri na other applicants....

Ukiwa Fit among waombaji, na ukawa within the number needed by College utachaguliwa tu.

Note; Usitegemee sehem moja...omba na kwingine to increase the chance.
 
Nimeomba na kwingne ila napenda nkasome dodoma Aksante kwa ushauri
 
Kwa Ordinary Diploma hautochaguliwa ila ungechagua Full Technician Certificate (FTC) ungechaguliwa.
 
Kwa matokeo hayo wewe sio level ya diploma Bali certificate usipoteze muda usije tumbuliwa bure hapo baadae apply certificate kabisa
 
nenda certificate utapata kama diploma lazima uwe umaliza 4m6 na kupata walau principle pass2 au uwe na certificate ya hiyo fan kutoka chuo kinacho tambulika na nacte OVER
 
Back
Top Bottom