Marco Mhagama
Member
- Jun 7, 2016
- 30
- 15
Jamani msilalamike Mimi ni moja ya walio isoma namba kuhusu utumbuaji wa majipu kinacho fanyika na serikali sio makosa hata kidogo ili tufikie uchumi wa kati lazima inapo fanyika recovery ya economy kuwe na myumbo fulani wa kimaisha eg sukari,ajira kusitishwa etc then hapo mbele tutakua poa tu mwacheni magufuli afanye hayo kwanza so that hapo mbele itakua xana msiwaze magufuli he is right no matter what or how we suffer don't lament