Bei ya Topics za Form five

mwamini sr

Member
May 30, 2016
27
2
Habar wana JF,Jamani kwa anaesoma au aliewahi kusoma tuition ya mchikichini naomba anitajie bei ya topic hizi

1.Mechanics in Physics
2.Physical chemistry

Na pia zachukua muda gani kila moja kufundishwa?
 
Tuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
 
Wengi wa wanaoifanya hii biashara sio walimu kwa taaluma

Ila wanajua madude hatari yani.Na ndio wametutoa wengi maana walimu wetu (shule za serikali) hali ni tete
 
mechanics na physical chemistry tumetumia miezi mitatu kusoma mchikichini kwa moudy physics na Unga na kufundishwa tena hadi mwakani labda private na sijui kama una hela ya kulipa
 
Tuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
Usijikute muongeaji sana haujui ni kiasi gani wanafunzi wa serikali tunavyoumia kwa uhaba wa walimu na hapo tuition ndipo tunatokea
 
Tuition? Hii biashara siipendi ila basi tu. Walimu wanashindwa kufanya kazi yao kiusahihi eti wanafunzi waende twisheni badala ya kuwapa muda wa kupumzika na kutafakari walichojifunza. Anyway this is Tz ila waambie walimu wa tuisheni watoe risiti....
PCM, PCB kidogo CBG huna muda wa kupumzika na kutafakari, kwa shule zetu hizi za kajamba nani unaweza ukajikuta mnamaliza mwaka hata mechanics + Heat hamjamaliza.
 
hizo siki tano unaweza kuandika notes au summary ya notes unazozitaka
 
Back
Top Bottom