CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
walimu sijui tunaonekanaje nchi hii!! tumewekwa mwisho kila wakati tumechekwa, tumedharauliwa, tumechapwa viboko, tumepigwa vibao.. na bado mishahara Yetu imeendelea kudumaa siku hadi Siku..
ona walimu tunavyolia mshahara ukichelewa kutoka! hivi ni nchi hii tu ndio mwalimu anaonekana useless au hata nchi nyingine!! ona bungeni zaidi ya wapinzani (Zitto na Yule mama Wa Babati mjini) ndio waliona umuhimu Wa walimu na kuomba walau tuangaliwe! lakini sasa ni wapinzani!! tangu lini mpinzani akasikilizwa? .. nalia mimi kwa ajili ya walimu nani atuhurumie ? nani atusaidie ikiwa Raisi wetu ambaye ni mwalimu ameweka tumbo lake mbele? wewe mkoba wewe hivi unajisikiaje kuwa Raisi Wa walimu halafu hujawahi kuwasaidia kwa lolote?
cheki bajeti imesomwa hata hatujatajwa na wewe umekaa kimya?
hufai Mzee..kalale Mzee..ondoka zako Mzee ..huna unalofanya Mzee...pumzika Mzee.
Nina uchungu sana halafu sema tu sina milioni 7 ningeenda mbali zaidi.
naomba msamaha mods ni hasira tu.