Bemba
Senior Member
- Jun 9, 2016
- 128
- 57
Hapa kwetu Tanzania utafiti unaonyesha wasichana wengi hawapendi masomo ya sayansi kutokana na dhana walo jiwekea kua masomo haya ni magumu
Je hivi ni kweli haya masomo ni magumu ama jamii ndo imejiwekea kua masomo haya ni kwa ajili ya wavulana na ndo wanaoyaweza kuliko wasichana.
Hususani masomo ya uhandisi uinjinia na mengineyo na hili tatizo sio kwa Tanzania tu, pia mataifa mengine.
Shida iko wapi??