Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 250
- 178
sahaman ndg zanguni naomba kufahamishwa shule nzuri ya wasichana ya boarding yenye ada isiyozidi 1.4m
Ongeza nyama mkuu kwenye andiko lako; Iwe Primary/ Secondary? Private/ Religious? Mkoa gani unapendelea? Mtoto ana umri gani? Anahamia au unataka aanze afresh/ Kidato/ Class gani?sahaman ndg zanguni naomba kufahamishwa shule nzuri ya wasichana ya boarding yenye ada isiyozidi 1.4m