edgar90
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 145
- 116
Habari zenu ndugu wanajamiiforum ,poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu,Mimi ni mwalimu by professional wa masomo ya physics na hesabu naomba niende kwenye mada
Binafsi nimewaza sana juuu ya kelele za wanafunzi wanapokua madarasani kwamba badala ya kuwapa hadhabu ni bora kikapatikana kifaa ambacho kingeweza kubadilisha sauti kua umeme yaani sound energy to electrical energy kwa maana hapa shuleni hakuna umeme,hivyo itatusaidia ktk matumizi ya kula siku ,kuna mwenye msaada zaidi juu ya uwezekano wa kuigeuza nishati ya sauti?