mwamini sr
Member
- May 30, 2016
- 27
- 2
Habari wa JF.Naombeni kuuliza ni hatua gni za kufata ili kubadili shule maana mimi nimechaguliwa PCM nina 1.13 nahitaji kwenda KISIMIRI
Ok AhsanteOmba kwanza unako taka kwenda then ukipata nafac uendako kule kibiti unaenda kupata uthibitisho tuuu